1 Corinthians 4:14-15

14 aSiwaandikii mambo haya ili kuwaaibisha, bali ili kuwaonya, kama wanangu wapendwa. 15 bHata kama mnao walimu 10,000 katika Al-Masihi, lakini hamna baba wengi. Mimi nilikuwa baba yenu katika Al-Masihi Isa kwa kuwaletea Injili.
Copyright information for SwhKC